Anza kujifunza Kiingereza cha leo! Mwongozo wetu kwa wanaoanza, utakusaidia kujenga msingi imara na kuzungumza Kiingereza kwa ujasiri. Jifunze misamiati (vocabulary) muhimu, sarufi (grammar) na misemo (phrases) kwa masomo yetu ambayo ni rahisi kufuata. Anza safari yako ya Kiingereza sasa!
Ingia ili kufuatilia maendeleo yakoLevel 1: Letters & Sounds
Letters & Sounds (Phonics Foundation)
Mwanafunzi atatambua herufi zote A–Z na sauti zake, atasoma maneno na sentensi rahisi, na kuzitamka kwa kujiamini.
Level 2: Grammar Foundation
Grammar Foundation
Mwanafunzi ataelewa muundo wa sentensi, atatunga sentensi sahihi, atagundua makosa ya sarufi, na kuwasiliana kwa usahih…
Level 3: Tenses
Tenses
Mwanafunzi ataelewa wakati katika Kiingereza na kutumia nyakati za sasa, zilizopita na zijazo kwa usahihi.
Reading
Mazoezi ya vitendo
Mwanafunzi atasoma habari fupi kwa ufasaha na kujibu maswali ya ufahamu.
Listening
Mazoezi ya vitendo
Mwanafunzi atasikiliza Kiingereza, ataandika anachosikia, na kujibu maswali ya kusikiliza.
Speaking
Mazoezi ya vitendo
Mwanafunzi atazungumza Kiingereza kwa kujiamini na kuboresha kwa msaada wa AI.