Uraia Na Maadili Darasa La V
Mada zote za darasa la V
Last updated: Aug. 24, 2023 Kiswahili
What i will learn?

Baada ya mwanafunzi kukamilisha mahiri zote kikamilifu kutamwezesha kujiunga na hatua inayofuata katika mfululizo wa elimu yake

Requirements

Nilazima mwanafunzi kujifunza mahiri zote katika darasa usika

Description

Katika mtaala huu mwanafunzi anaitajika kujifunza mahiri zifuatazo kikamilifu

 • Kujipenda na kuwapenda watu wengine
 • Kujivunia shule na kuipenda nchi yetu
 • Muundo wa uongozi serekalini
 • Kujijali na kuwajali watu wengine
 • Kusimamia majukumu
 • Kuwa mvumilivu
 • Kufikia malengo
 • Kuwa mwadilifu
 • Demokrasia
 • Kudumisha amani
 • Kushirikiana na mataifa mengine